PSQUARE: PETER & PAUL OKOYE KUFUNGA NDOA DUBAI, APRIL 2014..!?


Peter na Paul Okoye wanatarajia kufunga ndoa na wenza wao ndani ya Dubai mwezi wa nne 2014 kama kila kitu kitakwenda kama kilivyopangwa.

“If all things work out as planned the two brothers would walk down the aisle together with their heartthrobs, Lola and Anita come April, 2014. And we can confirm to you that except for some extraordinary last minute change of heart, the venue for the planned superlative wedding is most definitely Dubai.” – Maestromedia
Kwa sasa Peter Okoye yupo na familia yake jijini Dubai kwa mapumziko kidogo, inasemekana yupo huko pia kwa ajili ya kuangalia sehemu moja au mbili ambazo wanaweza kuzitumia kwa ajili ya hafla au harusi yao.
Big congrats to them in advance.
 

Crediti:Baabkubwamagazine.com
PSQUARE: PETER & PAUL OKOYE KUFUNGA NDOA DUBAI, APRIL 2014..!? PSQUARE: PETER & PAUL OKOYE KUFUNGA NDOA DUBAI, APRIL 2014..!? Reviewed by Linnah Lsquare on 6:07 AM Rating: 5
Powered by Blogger.