RAY C AFUNGUKA.... ASEMA JACJIE CLIFF ANASTAHILI KUNYONGWA. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, January 2, 2014

RAY C AFUNGUKA.... ASEMA JACJIE CLIFF ANASTAHILI KUNYONGWA.


akikumbuka hii hali ya kulala
majalalani hana hamu
mpaka anafikia kusema
mtu anyogwe jua hali
ilikuwa tete

Kiuno bila mfupa akasirishwa na watu wanaomtetea Jackie Cliff anasema JC anastahili kunyogwa yaani afe kabisa, hii ni kutokana Ray wake C kuwa mmoja ya watu walishawahi kutumia madawa na kumfanya apoteze muelekeo kabisa.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers