TAZAMA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO ENEO LA KINGOLUWIRA MADAFU KILOMETER 11 KUTOKA MOROGORO | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 8, 2014

TAZAMA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO ENEO LA KINGOLUWIRA MADAFU KILOMETER 11 KUTOKA MOROGORO

Hivi karibuni imetokea ajali mbaya katika eneo la KINGOLUWIRA MADAFU kilometa 11 kutoka Morogoro kuelekea Dar es salaam majeruhi wawili, dereva mmoja wa lori amekufa hapo,
Juu lori lilobeba mbao baada ya kugongana na lori la mafuta, chini ni lori la mbao lilivyo haribika

 Juu ni jinsi ajali hiyo inavyoonekana, chini ni picha ya dereva aliyepoteza maisha

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers