TAZAMA PICHA ZA MITEGO ZA MPENZI WA D'BANJ ILIYOZUA GUMZO BAADA YA KUIACHIA MTANDAONI. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 7, 2014

TAZAMA PICHA ZA MITEGO ZA MPENZI WA D'BANJ ILIYOZUA GUMZO BAADA YA KUIACHIA MTANDAONI.


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Dapo Daniel Oyebanjo maarufu kama D'banj ambaye siku za hivi ameingia mkataba mnono na kampuni ya Sony Entertainment Africa ametengena na Mchuchu wake wa muda mrefu kidogo Jennifer Obayuwana na kuanzisha mahusiano mapya na mrembo mpya Yaris Sanchez ambaye akatupia picha za Mitego huko Twitter.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers