TOFAUTI NA KUIGIZA HIKI NICHO KINGINE ANAFANYA DR CHENI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 13, 2014

TOFAUTI NA KUIGIZA HIKI NICHO KINGINE ANAFANYA DR CHENI

 Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha, Cheni ameuambia mtaandao wetu kuwa huwa anapokea simu nyingi sana za kumhitaji kufanya sherehe kama MC na yuko tayari wakati wowote anapohitajika maana yeye yupo kwa ajili ya jamii

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers