VIDEO YA WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO YAMZULIA BALAA KWA MPENZI WAKE..!SOMA ZAIDI HAPA... | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 6, 2014

VIDEO YA WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO YAMZULIA BALAA KWA MPENZI WAKE..!SOMA ZAIDI HAPA...

Mpenzi wa Nay wa Mitego hajapenda kile alichokiona kwenye video ya Nakula Ujana.


Kwa mujibu wa Nay, video hiyo imesababisha ugomvi ndani ya uhusiano wao kutokana na Nay kuonekana kwenye video hiyo akishikwa kifuani na sehemu zingine za mwilini na wasichana warembo wa Kenya.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers