VIDEO...DIAMOND AKIFUNGUKA KUHUSU ISHU YA WEMA SEPETU NA ILE MOVIE YAO 2014....JIONEE HAPA...!

Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa siku hii ya January 6 2014.

Kwenye show ya Xmas Diamond alifanya show yake kwa ajili ya watoto Leaders Dar es salaam ambapo baadae vyombo vya habari vilimkariri akitangaza kwamba Wema Sepetu ndio mpenzi wake wa sasa. 

Kwenye XXL Diamond amekwepa kulijibu hilo swali ila akamzungumzia Wema na uwepo wake pamoja na movie yake ambayo wamecheza pamoja na inatarajiwa kutoka mwaka huuhuu wa 2014.
VIDEO...DIAMOND AKIFUNGUKA KUHUSU ISHU YA WEMA SEPETU NA ILE MOVIE YAO 2014....JIONEE HAPA...! VIDEO...DIAMOND AKIFUNGUKA KUHUSU ISHU YA WEMA SEPETU NA ILE MOVIE YAO 2014....JIONEE HAPA...! Reviewed by Linnah Lsquare on 11:13 PM Rating: 5
Powered by Blogger.