VIDEO...SLAA AFUNGUKA, ASILIMIA 72 YA MAONI TULIYOKUSANYA YAMO KWENYE RASIMU YA PILI YA KATIBA!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, January 24, 2014

VIDEO...SLAA AFUNGUKA, ASILIMIA 72 YA MAONI TULIYOKUSANYA YAMO KWENYE RASIMU YA PILI YA KATIBA!!

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Wilbrod Slaa amesema asilimia 72 ya maoni yalikusanywa toka kwa wananchi na CHADEMA yamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Slaa aliyasema hayo mjini Songea akiwa katika Operesheni M4C Pamoja Daima.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers