WABONGO NOMA SANA..!! TAZAMA KITUKO WALICHOFANYA BAADA YA RONALDO KUMSHINDA MESSI KATIKA TUZO ZA MCHEZAJI BORA WA DUNIA. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 14, 2014

WABONGO NOMA SANA..!! TAZAMA KITUKO WALICHOFANYA BAADA YA RONALDO KUMSHINDA MESSI KATIKA TUZO ZA MCHEZAJI BORA WA DUNIA.

Wabongo hawana maana kabisa. Baada ya Christian Ronaldo kuondoka na tuzo ya mchezaji bora wa dunia na kumwaga mpinzani wake mkubwa Messi.

wabongo wakaamua kutengeneza kituko cha Messi. Hiyo picha unayoiona hapo juu ni Orijino ya Ronaldo akiwa na mkewaka na Messi akiwa na mke wake. sasa baada ya Ronaldo kushinda wabongo waka edit hiyo picha na matkeo yake yaka kama hivi
kwamba Messi kakosa Tuzo na Kakosa mke. DUH

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers