WASTARA ACHEKELEA UBUYU, KULIKONI? | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 22, 2014

WASTARA ACHEKELEA UBUYU, KULIKONI?

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibua maswali baada ya kuonekana akifakamia ubuyu kwa wingi huku wengi wakidhani labda amenasa! Tehe!
Wastara Juma.
Mkali huyo wa hisia awapo mbele ya kamera, alinaswa na kamera yetu hivi karibuni akiwa lokesheni na wasanii wengine ambao nao pia walikula lakini si kwa sana kama yeye.
Risasi Mchanganyiko lilimuweka mtu kati ambapo alisema: “Jamani... mimi napenda tu ubuyu kama ambavyo mtu mwingine anaweza kupenda biskuti au pipi. Kwangu mimi ni kiburudisho tu, hakuna cha zaidi.”

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers