WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA ALIPOKWENDA KUMFARIJI MZEE MAKAMBA NYUMBANI KWAKE | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, January 23, 2014

WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA ALIPOKWENDA KUMFARIJI MZEE MAKAMBA NYUMBANI KWAKE


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada zake,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole Mzee Makamba aliepatwa na msiba wa kufiwa na mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga jana.

 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba wakimsikiliza Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia,Mh. January Makamba wakati wa mazungumzo yao.Mh Lowassa aliitembelea Familia ya Mzee Makamba kwa  kumpa pole kwa kupatwa na msiba wa kufiwa na mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga jana.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers