WEMA AMFANYA DIAMOND HAOUSE BOY NYUMBANI KWAKE AMFUNGIA NDANI MCHANA KUTWA, AFUMWA AKIWA NA NDOO YA MAJI KICHWANI. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 22, 2014

WEMA AMFANYA DIAMOND HAOUSE BOY NYUMBANI KWAKE AMFUNGIA NDANI MCHANA KUTWA, AFUMWA AKIWA NA NDOO YA MAJI KICHWANI.NYOTA asiye na mpinzani katika muziki wa kizazi kipya kwa sasa, Nasib Abdul ‘Diamond’ ambaye amerejesha penzi lake kwa malikia wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, anadaiwa kuhamia nyumbani kwa mrembo huyo mwenye kuongoza kwa mikasa Bongo, aishiye Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
" LINAPATIKANA MTAANI LEO HADI IJUMAA DAKA KOPI YAKO"

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers