WEMA, KAJALA, WOLPER NA MIRROR WACHENGUA CLUB 71 TEGETA DAR...!JIONEE PICHAZ HAPA....

Wema Sepetu akiimba na Mirror.
Mastaa wa Bongo Muvi, wakiwa jukwaani pamoja na msanii Mirror.
Msanii Mirror akimchombeza Wolper.
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia onyesho hilo.
Jacqueline Wolper akikamua.
UKUMBI wa Club 71 ulioko Tegeta, jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamikia leo ulirindima kwa show bab’kubwa ya msanii Mirror kutoka kampuni ya Endless Fame aliyesindikizwa na madiva katika Bongo Muvi kina Wema Sepetu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper.
(PICHA NA HABARI: SHAKOOR JONGO/GPL)
WEMA, KAJALA, WOLPER NA MIRROR WACHENGUA CLUB 71 TEGETA DAR...!JIONEE PICHAZ HAPA.... WEMA, KAJALA, WOLPER NA MIRROR WACHENGUA CLUB 71 TEGETA DAR...!JIONEE PICHAZ HAPA.... Reviewed by Linnah Lsquare on 7:47 AM Rating: 5
Powered by Blogger.