ARUSHWA KUTOKA GHOROFANI MPAKA CHINI BAADA YA KUFUMANIWA AKILIWA URODA!!

Mzee mmoja mwenye hasira kali, Deji Kamoru, amejikuta akitiwa mbaroni baada ya kumfuma binti yake Aishat chumbani kwake na kuuamua kumrusha kupitia dirishani ghorofa ya 3, mkasa huo kwa mjibu wa walioshuhudia ulitokea pale mzee huyo aliporudi nyumbani kwake na kumkuta binti yake mwenye umri wa miaka 14 akiwa chumbani kwa baba yake akila uroda na boyfriwnd wake, kwa mjibu wa shuhuda wa tukio hilo  mzee huyo aliamua kumfunga mikono binti yake huyo na kumchapa kisha kumrusha dirishani... binti huyo alipofika chini alipigiza kichwa na kupoteza fahamu.. mpaka sasa binti hajitambui na yuko ICU katika hospital ya taifa ya nigeria... mzee huyo ameachiwa kwa dhamana ili aweze kumhudumia mwanae hospital kwani mama yake waliishatarakiana siku nyingi
credit:swahilitz 
ARUSHWA KUTOKA GHOROFANI MPAKA CHINI BAADA YA KUFUMANIWA AKILIWA URODA!! ARUSHWA KUTOKA GHOROFANI MPAKA CHINI BAADA YA KUFUMANIWA AKILIWA URODA!! Reviewed by Linnah Lsquare on 9:47 PM Rating: 5
Powered by Blogger.