CHAGGA BARBIE NOMA SANA..!! KUMBE ALISHAWAHI KUWA MPENZI WA MSANII ANAYEUNDA KUNDI LA BLACKET (wazee wa yoriyori) KUTOKA NIGERIA..!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, February 21, 2014

CHAGGA BARBIE NOMA SANA..!! KUMBE ALISHAWAHI KUWA MPENZI WA MSANII ANAYEUNDA KUNDI LA BLACKET (wazee wa yoriyori) KUTOKA NIGERIA..!!

Mwanadada mtanzania aishiye marekani ambaye ni mpenzi wa Prezzo, Starlisha Tillya a.k.a Chagga Barbie ambaye hivi majuzi alimtupia maneno machafu na mazito mpenzi wake wa sasa ambaye ni Prezzo lakini hapo baadae alijua makosa na kuomba msamaha.

Chagga Barbie hapo awali aliwahi kuwa mahusiano ya kimapenzi  na  mwanamziki wa Nigeria anayeunda kundi la Blacket wazee wa yoriyori anaejulikana kwa jina la Vast, Uhusiano wa Chagga 
Barbie na Vast haukudumu kwa muda mrefu ingawa ulikuwa wazi karibia kwa wanigeria wote wanaofatilia mziki na maisha ya mastar hao. Baada ya Chagga Barbie kumwagana na Vast ndipo akaamua kuamishia majeshi yake kwa mkenya Prezzo ambaye waligombana sana na sasa wapo pamoja.
credit:swahilitz

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers