DIAMOND URAFIKI GANI HUU NA MAMA?? | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, February 12, 2014

DIAMOND URAFIKI GANI HUU NA MAMA??

Baadhi ya mashabiki wa mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva Naseeb Abdul "Diamonda Platinumz"wameutilia mashaka urafiki ulipitiliza baina yake na mama yake na kuanza kuhoji kunani? watu kadhaaa wakiwa  wanatazama picha za nguli huyo na mama yake katika mitandao mbalimbali na kuanza kujadili. Japokuwa hakuna aliyetoa fikra mbaya lakini urafiki huo umepitiliza kiasi kwamba kuna uwezekanao akawa anaingiza kumpenda mama yake au kuna kitu cha ziada,

Baadhi ya picha zinazozua mjadala ni zile zinazoonekana kufanana mapozi na zile zlizopiga na Diamond na wapenzi wake. "si jambo baya kumpenda mama lakini hii sasa too much, hizi pozi nazo hazifai kupiga picha na mzazi wake jamani maana mwisho wa siku watu watazusha ya kuzusha". alisema shabiki mmoja anayefahamika kwa jina la Rasta. 

Hata hivyo, shabiki mwingine alipingana na Rasta kwa kusema kuwa Diamond ana uhuru wa kujirusha vyovyote atakavyo na mama yake kwani wametoka mbali katika kuivuta safari ya shida na mateso
Credit:tznews

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers