DIVA WA CLOUDS FM AAMBULIA MATUSI NA MANENO MACHAFU KUTOKA KWA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUWEKA PICHA HII MTANDAONI. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, February 2, 2014

DIVA WA CLOUDS FM AAMBULIA MATUSI NA MANENO MACHAFU KUTOKA KWA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUWEKA PICHA HII MTANDAONI.

Baada ya mtangazaji wa clouds FM Loveness Malinzi (Diva) kuweka picha isiyokuwa na maadili mtandaoni, mashabiki wake wachukia na kuanza kumpa makavu laivu na matusi kwa kitendo alichokifanya mwanadada huyu mwenye sauti ya mitego.

Hii ndiyo picha aliyoiweka mtandaoni
Haya ndiyo makavu aliyopewa na mashabiki wake


google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers