DUNIA INA MAMBO...MWANAMKE ANATUMIA UKE WAKE KUNYANYUA VITU VYENYE UZITO wa Kg.14. JIONEE MWENYEWE HAPA...! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, February 6, 2014

DUNIA INA MAMBO...MWANAMKE ANATUMIA UKE WAKE KUNYANYUA VITU VYENYE UZITO wa Kg.14. JIONEE MWENYEWE HAPA...!

Inaniwia vigumu kupata kichwa sahihi cha habari hii, Ila hii ni video ya mwanamke Tatyana Kozhevnikova raiya Urusi ambaye hajatangazwa rasmini kama yeey ni mwanamke mwenye Uke imara kuliko wote lakini anautumia kunyenyulia kitu chenye uzito wa Kg 14.
Inasemekana anaweka yai la mbao ndani ya uke wake na kuifungia kamba
ambayo inafungwa na kitu chenye uzito wa Kg 14, kisha ana bana vizuri lisianguka kisha ananyenyenyua uzito huo. Pia akizidi kusema amechukuwa zaidi ya miaka 20 kufanya ukewake uwe strong kama hivyo.


Hataivyo alishawahi kushinda kwenye mashindano mwaka 2009 katika pound 31. Na amekariririwa akisema Inatosha kwa mwanamke kuupa mazoezi uke wake kwa dakika 5 kwasiku tu kisha hata kitandani atamridhisha mpezi we.
It’s enough to exercise your vágina five minutes a day, ladies, and in just one week you’ll be able to give yourself and your man unforgettable pleásure in bed."

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers