HAWA NDIO VIGOGO WALIOHUKUMIWA MIAKA TISA JELA!!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, February 10, 2014

HAWA NDIO VIGOGO WALIOHUKUMIWA MIAKA TISA JELA!!!

Vigogo wa TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! (Picha na Maktaba).
VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15 kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar!

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers