HUDDAH AAMBULIA APEWA VIJEMBE VYAKE BAADA YA KUWEKA PICHA AKIWA HAJAVAA NGUO YA NDANI..!! TAZAMA HAPA!!


Jana Mwanadada maarufu zaidi nchini Kenya aliachia picha hii hapo chini na kuzua utata na maneno mengi kwa mashabiki wake huku Huddah mwenyewe akiwa hana hata habari. Mmoja wa mashabiki wake alifunguka na kusema "Huddah mambo unazofanya siyo ndiyo nini kutuvalia ngua bila Chupi alavu unatubinulia makalio yako??" Baada ya hiyo comment ziliibuka comment nyingi zenye maneno mazito kutokana na hiyo picha.
Shabiki mwingine wa Huddah alishindwa kuvumilia na kuamua kufungunga "Huddah hizo tabia zao hatuzipendi unatulingishia makalio yako huku hujavaa nguo ya ndani unataka nini hasa?" alimaliza kwa kusema hivyo.

Mwanadada Huddah haishiwi vituko na haishi kusemwa kwenye media kwa tabia zake za kuachia mambo yasikyokuwa na maadili.
credit:swahilitz
HUDDAH AAMBULIA APEWA VIJEMBE VYAKE BAADA YA KUWEKA PICHA AKIWA HAJAVAA NGUO YA NDANI..!! TAZAMA HAPA!! HUDDAH AAMBULIA APEWA VIJEMBE VYAKE BAADA YA KUWEKA PICHA AKIWA HAJAVAA NGUO YA NDANI..!! TAZAMA HAPA!! Reviewed by Linnah Lsquare on 2:20 AM Rating: 5
Powered by Blogger.