HUU NDO UJUMBE UNAOTUMIWA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LA ZITTO KABWE KUTAPELI, USOME HAPA USIJE KUIBIWA. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, February 12, 2014

HUU NDO UJUMBE UNAOTUMIWA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LA ZITTO KABWE KUTAPELI, USOME HAPA USIJE KUIBIWA.

EPUKA MATAPELI HAWA... Dakika kadhaa zilizopita,Mh Zitto Kabwe ametangaza kutokuhusika na mkopo unaotangazwa kupitia mtandao http://www.zittokabwe-foundation.wapka.mobi/, ambapo licha ya kutoa background ya mfuko huo, wadhamini kuonyesha kama ni halali pamoja na picha za Zitto, pia kuna sehem ambayo inamtaka mtu ajaze form kwa ajili ya kupata mkopo. Kupitia kwenye mtandao wa kijamii, Zitto amekanusha kuhusika na mfuko huo wa mkopo na kuwaomba watu wawe makini na matapeli hao. ILINIBIDI KUFUATILIA ILI KUWEZA KUJUA WATU HAO WANA TOA FOMU VIP NDO WALICHO NIJIBU KWENYE PICHA... KUWA MAKINI MTANZANIA MWENZANGU USIWE MWEPESI KUDANGANYIKA..-+
credit:Bongoclantz

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers