HUYU NDIYE PRODUCER NA MSANII WA BONGO FLEVA ANAETAKA KUNUNUA NDEGE YAKE BINAFSI.

Producer Machachari wa Hapa Bongo Anaejulikana kama Lamar Amehabarisha Radio Moja hapa Bongo Kuwa ana Mpango wa Kununua Ndege yake Binafsi ili kumrahisishia Mizunguko yake Sehemu Mbali Mbali ...Amesema hizo ndoto alikuwa nazo muda mrefu na Ameshaanza Kuongea na Wauzaji wa ndege kuona kama atapata Moja ...Big Up Lamar...Utakuwa msanii wa kwanza Tz kuwa na Ndege Binafsi....
Mwanamuziki Mwingine mwenye ndoto kama hizo ni Ay ambae nasikia ameanza kujifunza kuendesha ndege ili kujiandaa atakapo nunua yake .....
credit:swahilitz
HUYU NDIYE PRODUCER NA MSANII WA BONGO FLEVA ANAETAKA KUNUNUA NDEGE YAKE BINAFSI. HUYU NDIYE PRODUCER NA MSANII WA BONGO FLEVA ANAETAKA KUNUNUA NDEGE YAKE BINAFSI. Reviewed by Linnah Lsquare on 10:02 PM Rating: 5
Powered by Blogger.