ILE MUVI INAENDELEA LEO ZAMU YA SUPER STAR PENNY NAYE AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND PLATZNUM SOMA ALICHOSEMA !! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, February 10, 2014

ILE MUVI INAENDELEA LEO ZAMU YA SUPER STAR PENNY NAYE AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND PLATZNUM SOMA ALICHOSEMA !!

Afunguka na kusema “Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, thamani yake kwangu itabaki palepale”.MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa ambaye ni zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ amesema katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu hata kama si wake tena.
Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi yao. 


“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,”
source:blog ya mwananchi 

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers