INASIKITISHA SANA...KIJANA AJIUA KWA KUJIWEKA RELINI NA KUGONGWA NA TRENI!!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, February 26, 2014

INASIKITISHA SANA...KIJANA AJIUA KWA KUJIWEKA RELINI NA KUGONGWA NA TRENI!!!


Hivi punde kumetokea tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya kijana mmoja aliyechukua maamuzi magumu juu ya maisha yake.kijana huyo ambaye jina  na  chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka sasa aliamua kujilaza katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika mgongo wake na kumsababishia kupoteza maisha yake.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi watukio hili na hutambuzi wa ndugu wa marehemu.
Katika tukio hili mashuhuda mbalimbali walisikika wakisema "Kama kijana huyu alifikia uamuzi huu na bora angeweka kichwa ili afe na kumpunguzia maumivu kwani kuweka kwake tumbo kunamchelewesha na  hata kabla ya kufa angeweza kujutia kutoka na maumivu hayo"
credit:udakuspecially 

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers