KUWA MAKINI JIJINI DAR..!! HUU NDIYO UTAPELI MPYA ULIYOIBUKA, UKIZUBAA UNALIZWA KILA KITU KIZEMBE!!!

Tahadhari kuhusu mbinu mpya ya kutapeliwa fedha ukitoka kwenye ATMMatapeli wamebuni mbinu mpya ya kuibia watu fedha punde wanapotoka kuzichukua kwenye ATM.Punde unapomaliza kuchukua fedha, anakuja mtu anakuomba msaada wa chenji kwa kuwa naye amechukua fedha ila imempa noti kubwa tu.Huruma na wema wako wa kutoa chenji unasababisha akupe noti zisizo halali (fake bills) na wewe unakuwa ulishampatia zilizo halali.Pichani ni mojawapo ya tukio halisi lililomtokea mtu ambaye ameamua kuwashirikisha wengine ili wajihadhari.Alikumbwa na utapeli huo alipochukua fedha katika maeneo ya CBE, Dar es Salaam.Jihadhari!Via wavuti.com
KUWA MAKINI JIJINI DAR..!! HUU NDIYO UTAPELI MPYA ULIYOIBUKA, UKIZUBAA UNALIZWA KILA KITU KIZEMBE!!! KUWA MAKINI JIJINI DAR..!! HUU NDIYO UTAPELI MPYA ULIYOIBUKA, UKIZUBAA UNALIZWA KILA KITU KIZEMBE!!! Reviewed by Linnah Lsquare on 12:03 AM Rating: 5
Powered by Blogger.