MAJANGA TAZAMA PICHA HIZI...MZUNGU AFUNGA NDOA NA MBWA!!!...AMA KWELI DUNIA INA MAMBO!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, February 1, 2014

MAJANGA TAZAMA PICHA HIZI...MZUNGU AFUNGA NDOA NA MBWA!!!...AMA KWELI DUNIA INA MAMBO!!Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco jimboni California nchini Marekani.

Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye umri wa miaka 35 akiwa amevalia suti yake nadhifu alifunga ndoa na mbwa wake mwaminifu aitwaye Mac.

Mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo Father McHale alionyesha kufurahishwa kwake na kitendo cha yeye kufungisha ndoa hiyo ya kihistoria nchini Marekani.


Kwa habari zaidi bofya hapa:

http://nationalreport.net/california...imal-marriage/

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers