MAMBO HAYA HUCHANGIA MWANAUME KUWA MCHOVU KITANDANI!!!

Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au ham imeisha kabisa ya tendo.

Lawama hizo wamekuwa wakiwatupia wanaume bila kuangalia uhalisia wake.Ukweli ni kuwa wanawake wenyewe ndo wamekua chanzo kikubwa cia tatizo hili.Sababu zifuatazo kwa ufaham wangu ndo zinasababisha:

UCHAFU:Wanawake siku hizi wanashindwa kujifanyia usafi ipasavyo miili yao kitu kinachosababisha mwanaume kukereka na hamu kwisha.

KAZI:Wanawake wa siku hizi inafahamika kuwa wanafanya kazi,mwanamke anarudi kazini na uchovu, stress, katukanwa na bosi wake, amepata loss, ametongozwa na boss na kutishiwa kufukuzwa kazi kama atamkataa, amesikia fununu za ridandasi n.k,mwanamke kama huyu hawezi kuwa na ndoa imara.

KUTOKUWA MUWAZI:Hili ni tatizo kubwa, wanawake hawapo wazi kama hawajatosheka kitandani hivyo wanaenda kulalamika nje na pindi mume apatapo taarifa hunyong'onyea kwa sababu anajua watu wanajua mkewe hamtoshelezi.

UFUJAJI:Mwanamke mfujaji mume wake lazima atakuwa na tatizo hili.

LUGHA CHAFU:Lugha ni nguzo nyingine inayochangia tatizo hii, unakuta mume maumbile yake madogo, badala mwanamke kutumia lugha nzuri anatumia lugha za kashfa kitu kinachomfanya mume kupoteza kujiamini.

USHIRIKIANO:Wakati wa tendo unakuta mwanaume anashughulika lakini mwanamke amelala kama hakuna kinachoendelea hali hii inakera sana!...Sababu ni nyingi sana ila nasema wanawake wabadilike wao ndio nguzo muhimu sana hapa. Sisemi wanaume hawana lawama wanazo hasa, ULEVI, UVUTAJI SIGARA na KUFANYA KAZI KUPINDUKIA humfanya awe mchovu kitandani, lakini mwanamke anaplay part kubwa kwenye tatizo hili! Ladies mpo hapo? 

MAMBO HAYA HUCHANGIA MWANAUME KUWA MCHOVU KITANDANI!!! MAMBO HAYA HUCHANGIA MWANAUME KUWA MCHOVU KITANDANI!!! Reviewed by Linnah Lsquare on 5:34 AM Rating: 5
Powered by Blogger.