PICHA INATISHA...INASIKITISHA SANA..PLIZZ DON'T IGNORE IT...!JIFUNZE KITU TOKA HAPA...! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, February 27, 2014

PICHA INATISHA...INASIKITISHA SANA..PLIZZ DON'T IGNORE IT...!JIFUNZE KITU TOKA HAPA...!

Binti alimuaga mama yake, "naenda matembezi na marafiki zake."


Mama yake akamwambia "Mungu awe nawe ktk safari yako".  

Kwa dharau na kiburi binti akajibu "mh mama gari imejaa labda huyo Mungu akae kwenye boot kama anaweza. 
Kwa kasi akawasha gari wakaondoka. Njiani wakapata ajali mbaya walitambuliwa tu kwa mavazi waliyovaa wakati wanaondok.

Police walipofungua boot wakakuta mayai trey MBILI yakiwa salama kabisa
MUNGU alikua katak boot! UMEMUWEKA WAPI MUNGU katika MAISHA YAKO?

Kamwe usithubutu kumdhihaki Mungu badala yake mfanye kuwa baba na mwangalizi wa maisha yako kwa kila siku.

Comment Amen na kisha share ujumbe huu......
Source:Kandili yetu

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers