TETESI:WAMILIKI WA FACEBOOK NA INSTAGRAM WAIFUNGIA UGANDA..KUMKOMESHA MUSEVENI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, February 26, 2014

TETESI:WAMILIKI WA FACEBOOK NA INSTAGRAM WAIFUNGIA UGANDA..KUMKOMESHA MUSEVENI


Kufuatia Rais wa Uganda kusaini sheria mpya ya kupinga Ushoga na aina zote za namna hiyo, wamiliki wa Facebook, Instagram, na Twitter wamefunga huduma zote katika nchi ya Uganda ikiwa ni ishara ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na hatua ya Museven kusaini sheria hiyo. Kwa sasa wananchi wa Uganda hawatapata huduma hizi labda Rais wao aamue vinginevyo katika sheria hiyo.
credit:udakuspecially

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers