[VIDEO] KUTANA NA MUHINDI HUYU ALIYEAMUA KUTENGENEZA SHATI LA DHAHABU LENYE THAMANI YA TSH MILIONI 450

Muhindi huyu ameishangaza dunia kwa Kufanya kituko hiki kuonyesha kwamba fedha inaweza fanya chochote, huku akitengeneza shati la Dhahabu lenye uzito wa KG 3 ukiachana na Pete lukuki alizovaa mkononi na macheni ya dhahabu aliojivalia shingoni....

Kwa mujibu wa chanzo toka BBC SHATI HILI LINAGHARIMU KIASI dola [$250,000] Jamaa huyu anayefahamika kama Rajini Vaidyanathan a.k.a "The Gold Man" hili tukio liliwaacha baadhi ya watu midomo wazi na kuwaacha wakijiuliza maswali kadhaa kuhusu jamaa huyu.


CREDIT:TZnews
[VIDEO] KUTANA NA MUHINDI HUYU ALIYEAMUA KUTENGENEZA SHATI LA DHAHABU LENYE THAMANI YA TSH MILIONI 450 [VIDEO] KUTANA NA MUHINDI HUYU ALIYEAMUA KUTENGENEZA SHATI LA DHAHABU LENYE THAMANI YA TSH MILIONI 450 Reviewed by Linnah Lsquare on 2:01 AM Rating: 5
Powered by Blogger.