VIDEO..HIVI NDIVYO SHILOLE ALIVYOBAKWA...!JIONEE MWENYEWE "SHE ROLL IT" AKIFUNGUKA TUKIO ZIMA HAPA...! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, February 12, 2014

VIDEO..HIVI NDIVYO SHILOLE ALIVYOBAKWA...!JIONEE MWENYEWE "SHE ROLL IT" AKIFUNGUKA TUKIO ZIMA HAPA...!

VIDEO..HIVI NDIVYO SHILOLE ALIVYOBAKWA...!JIONEE MWENYEWE "SHE ROLL IT" AKIFUNGUKA TUKIO ZIMA HAPA...!

Akitamba na vibao vyake kama “Paka La Bar”, “Nakomaa na Jiji”, pamoja na ngoma yake mpya iitwayo ”Chuna Buzi”, 
mwanadada Shilole ambaye ni muimbaji, muigizaji na pia ni mama wa watoto wawili, amefunguka kuhusu maisha yake jinsi alivyopambana mpaka kufikia hapo alipo, harakati zake za kimuziki, na misukosuko iliyompata kupitia kipindi cha televisheni maarufu kama Sporah Show…


Shilole   On Sporah Show….“Nilibakwa nikiwa na umri wa miaka 14″, Ni maneno ya Shilole ndani ya mahojiano na  
The Sporah Show. Itazame hapa

Credit:Kandili yetu

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers