BAADA YA SAKATA LA OSTAZ JUMA NA PNC KUTOKEA...!! KITALE AFUNGUKA YAKE YA MOYONI KUSEMA HAYA.....!! SOMA HAPA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, March 22, 2014

BAADA YA SAKATA LA OSTAZ JUMA NA PNC KUTOKEA...!! KITALE AFUNGUKA YAKE YA MOYONI KUSEMA HAYA.....!! SOMA HAPA

Msanii wa filamu za vichekesho na mziki, Kitale ameamua kumtolea uvivu msanii PNC kujishusha mbele ya Ostaz Juma na Musoma kwa kupiga magoti ya kuomba radhi

Akipiga story na swahilitz kitale alisema, "Mwanzoni nilikuwa namuona PNC kuwa ni mtu wa maana lakini kumbe ni 'ZERO.ZERO' maana kama angekuwa anajitambua baada ya tukio aangalau angenipigia hata simu na tukaona tunafanya nini. lakini jambo la ajabu ameamua kukaa kimya basi hata mie sina mpango nae." alisema Kitale

Ikumbukwe kuwa kitale naye alikuwa miongoni mwa wasanii waliyokuwa wakiliunda kundi la Watanashati  lililo chini ya kiongozi Ostaz Juma na Musoma lskini baadae aliamua kujitoa katika kundi hilo na kuamua kijisimamia mwenyewe kazi zake.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers