DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO NYINGINE...WAGHANA WAMGOMBANIA KUFANYA NAE COLLABO | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, March 22, 2014

DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO NYINGINE...WAGHANA WAMGOMBANIA KUFANYA NAE COLLABO

Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa wasanii mbali mbali kutoka Ghana na Nigeria wanamtafuta kufanya nae Collabo ....Diamond Amehabarisha kuwa siku si nyingi ataelekea pande hizo za Nigeria kufanya Video mpya ambayo bado hajasema ni wimbo gani, Pia atapitia Ghana kufanya Collabo Kadhaaa....Big Up
credit:swahilitz

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers