DOGO JANJA NAE AMKIBIA USTAZ JUMA AAMUA KURUDI TIP TOP, SOMA NA TAZAMA VIDEO YA ALICHOKISEMA HAPA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, March 21, 2014

DOGO JANJA NAE AMKIBIA USTAZ JUMA AAMUA KURUDI TIP TOP, SOMA NA TAZAMA VIDEO YA ALICHOKISEMA HAPA

Hii ni Exclusive interview ya Dogo Janja on AyoTV ambayo ameamua kusema ya moyoni kuhusu kilichotokea baada ya kuondoka kwenye kundi la Tiptop Connection pia akaambatanisha na maamuzi yake ya sasa.
Hakuondoka Tiptop vizuri baada ya kumshutumu Madee kutompa pesa za show alizokua anafanya na kwamba alikwenda hata kwenye account yake ya benki na kukuta pesa zote zimechukuliwa.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers