HABARI NJEMA..!! DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA KORA, HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUMPIGIA KURA AKAWA MSHINDI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, March 28, 2014

HABARI NJEMA..!! DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA KORA, HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUMPIGIA KURA AKAWA MSHINDI

 Mwaka huu unaweza kua mzuri sana kwa Diamon Platnumz kwani tumeshuhudia akifanya mambo mengi makubwa, kama kupata kolabo na wasanii wakubwa na kupata kushirikishwa katika nyimbo iliyowakutanisha mastar wakubwa kutoka Afrika. Leo asubuhi kupitia website yake Diamond alitangaza kua amechaguliwa kushiriki katika Tuzo za KORA.

Tuzo hizo zilianzishwa miaka 20 iliyopita na kwa mwaka huu Diamond ndio ataipeperusha Benderaya Tanzania. Moja ya kitu alichokisema kupitia website yake ni jinsi utavyoweza kumsadia kushinda tuzo hizo. Diamond alisema “Tuzo kubwa za Afrika,KORA zimewadia..na mimi nahusika…hivyo basi kama mpenzi na shabiki wa Music wangu Niwezeshe kushinda kwa kunipigiakura kura . ingia katika Facebook page yao ambayo ni Kora Awards kisha Katika kila post niliyoshiriki Comment kwa kuandika jina Diamond Platnumz”

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers