HII NDO KAULI YA KWANZA YA DIAMOND BAADA YA WEMA KUNYOA NYWELE ZOTE NA KUBAKI KIPARA. SOMA ALICHOKISEMA HAPA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, March 18, 2014

HII NDO KAULI YA KWANZA YA DIAMOND BAADA YA WEMA KUNYOA NYWELE ZOTE NA KUBAKI KIPARA. SOMA ALICHOKISEMA HAPA


Kama nusu saa iliyopita diamond ameweka picha hiyo hapo juu ya wema akiwa hana nywele yani kipara. Katika picha hiyo hapo juu Diamond
aliandika maneno haya "So someone decided to go Bald...Lol! ��...what can i say, i love her either way... #Mahaba_niue #Kipara_ninyonge" kweli Diamond kafa kaoza usubiri ndoa

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers