IRENE PAUL WA BONGO MOVIE AFUNGUKA KUHUSU SIFA ZA KIDUME AMTAKAYE...!!..WENYE SIFA MNAKARIBISHWA!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, March 12, 2014

IRENE PAUL WA BONGO MOVIE AFUNGUKA KUHUSU SIFA ZA KIDUME AMTAKAYE...!!..WENYE SIFA MNAKARIBISHWA!!

MTOTO mzuri kwenye kilinge cha Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila.

 Irene Paul.
 Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni jijini Dar, Irene alisema licha ya kuwa bado hajamuanika mpenzi wake lakini suala la dini, kabila kwake siyo ishu ya msingi zaidi anaangalia mapenzi ya dhati.

 “Naangalia tu, mtu anayenipenda ananipenda kweli au anaigiza? Nikigundua ananipenda kweli, nampenda pia. Hata aweje huyo ndiye atakayekuwa wangu wa maisha,” alisema Irene.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers