JE, WAJUA?!JIONEE PICHA WEMA NA DIAMOND MARA YA KWANZA WALIVYOKUTANA POZI LAO LILIKUA HIVI...!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, March 28, 2014

JE, WAJUA?!JIONEE PICHA WEMA NA DIAMOND MARA YA KWANZA WALIVYOKUTANA POZI LAO LILIKUA HIVI...!!

Inaaminika katika mapenzi au uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuandikwa sana kwenye mitandao na magazeti Tanzania, huu wa mwigizaji Wema Sepetu na Diamond Platnumz umevunja rekodi, mastaa ambao walifikia mpaka kuvalishana pete ya uchumba.
Pamoja na yote waliyopitia bado kalamu za Waandishi mbalimbali zilihusika kuwaandika.Ommy Dimpoz ambae ni rafiki wa Diamond kitambo hata kabla hajawa staa (Ommy) ameshea hii picha inayowaonyesha Wema na Diamond walipokutana kwa mara ya kwanza na kuiambatanisha na hii caption hapa chini. 

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers