MMMH..NI NOUMA...KATIKA MAP*NZI ATAKAYENIOA ATAFAIDI MAHANJUMATI..."MAYA AFUNGUKA..! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, March 12, 2014

MMMH..NI NOUMA...KATIKA MAP*NZI ATAKAYENIOA ATAFAIDI MAHANJUMATI..."MAYA AFUNGUKA..!

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa bado hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi wa kupika.

Mayasa Mrisho ‘Maya’.

 Maya alifunguka hayo juzikati wakati paparazi wetu alipombananisha juu ya uwezo wake kwenye ‘sekta’ ya mahanjumati ndipo alipofunguka kuwa yeye ni hodari katika eneo hilo. 
“Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya kushindwa kupika, atakayenioa atafaidi mahanjumati ya ukweli kabisa, chezea mimi wewe!” alijisifia Maya.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers