MSIKILIZE WEMA ALIVYOFUNGUKA JUU YA SUALA LA KAJALA KUNYWA SUMU CLUB USIKU WA MANANE..!!NI BALAA AMWAGA SIRI ZOTE. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, March 3, 2014

MSIKILIZE WEMA ALIVYOFUNGUKA JUU YA SUALA LA KAJALA KUNYWA SUMU CLUB USIKU WA MANANE..!!NI BALAA AMWAGA SIRI ZOTE.

Siku ya Jumatatu Staa wa filamua za Kibongo, Kajala Masanja kupitia account yake ya Instagram aliandika kuwa alipokuwa kwenye shoo ya Izzo B,Club 71 iliyopo maeneo ya Tegeta, ghafla alianza kuumwa ndipo alipopelekwa nyumbani na kuelekea hospitali.
Aidha alisema kuwa alipofika hospitali alipimwa akaonekana amekula sumu na kuongeza kuwa alimshukuru Mungu na kuendelea vizuri.
Kajala hakuweza kupatikana siku hiyo ya Jumatatu, ila 255 imezungumza na swahiba wake wa karibu Wema Sepetu amefunguka kilichotokea usiku huo.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers