NEWSS...AJALI MBAYA YAUA WATU 22 HAPO HAPO HUKO KIBITI...YAHUSISHA MAGARI MATANO..SOMA ZAIDI HAPA.... | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, March 31, 2014

NEWSS...AJALI MBAYA YAUA WATU 22 HAPO HAPO HUKO KIBITI...YAHUSISHA MAGARI MATANO..SOMA ZAIDI HAPA....


Watu 22 wamefariki duniani papo hapo katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha 
Mkupuka tarafa ya Kibiti iliyohusisha magari matano.

Ajali hiyo imetokea jana usiku wa saa mbili kufuatia Hiace iliyokuwa ikijaribu kulipita 
gari lingine aina ya Tata lenye namba za usajili T 132 AFJ lililokuwa limesimama baada 
ya kugongana uso kwa uso na gari aina ya Kenta lenye namba za usajili T.774.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Pwani, Hajjat Mwantum Mahiza, wengi waliokufa 
ni vijana waliokuwa wanatoka Ikwiriri kwenda Kibiti wakiwa na lori aina ya Fuso na 
bidhaa zao kwa ajili ya mnada leo.
-via kandili yetu

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers