VIDEO..BALAA LA USIKU WA VIGODORO..WEMA, SHILOLE, KAJALA NDANI..JIONEE MWENYEWE HAPA...!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, March 5, 2014

VIDEO..BALAA LA USIKU WA VIGODORO..WEMA, SHILOLE, KAJALA NDANI..JIONEE MWENYEWE HAPA...!!

Kwenye hii video utamuona mkali wa vigodoro anaitwa Msagasumu akiwapagawisha mashabiki wake ndani ya Dar Live ambapo kulifanyika uzinduzi wa movie ya Kigodoro.

Kitu kingine ni pale Wema Sepetu alipoimba verse ya Diamond kwenye wimbo wa Letadutigite akiwa na Linex.
 Shilole kahusika pia kwenye hii video bila kuiacha sehemu ambayo Wema alipoamua kuvua pete zote baada ya kupoteza pete moja akiwasalimia mashabiki wake.
CHEKI VIDEO HAPA CHINI.. 

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers