WEMA SEPETU TAPELI...?? SOMA JINSI DADA HUYU AKIDAI KUTAPELIWA NA WEMA....!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, March 29, 2014

WEMA SEPETU TAPELI...?? SOMA JINSI DADA HUYU AKIDAI KUTAPELIWA NA WEMA....!!

Miss Iringa namba 1 2009 Wintness Masanja ni mmoja kati ya marafiki wa Wema Sepetu kupitia mtandao wa kijamii na mara kwa mara wamekuwa wakiwasiliana na Wema na kubadilishana mawazo, Ila hivi karibuni Witness hana hamu na Wema Sepetu baada ya kufanyiwa kitu kibaya kisa....
"Nilikuwa nachati na CEO wa Endless Fame kwenye facebook, siku hiyo nilimuomba anitafutie mteja wa kununua kiwanja changu kilichopo Mbagala, akaniambia poa atamcheki dalali wake anicheki Next Day , kweli kesho yake dalali alinipigia simu akaniomba nimtumie 100,000 kwenye tigo pesa kwa ajili ya kuwatafuta wateja, nikampa
Baada ya siku 2 akahitaji nimuongezee elfu 50 akiniambia ameshapata mteja tayari anahitaji hiyo hela ili awalete kwangu kesho yake,  Kesho yake nilimpigia simu akawa hapatikani, nikajaribu kuwasiliana na wema kwenye facebook hakuna majibu. Nikaamua kwenda ofisini kwa Wema kufika eti nikaambiwa CEO hana akaunti kama hiyo,,,, uuuwi!! nikajua nimeshatapeliwa"
 alisema Witnsess


Mwandishi: Vipi sasa umefikia maamuzi gani? Utaendelea kumfatilia Wema?


Witness: No najua nimeshalizwa ila namshukuru Mungu sijatapeliwa kiwanja changu

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers