WOW..ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUHUSU UREMBO WAKE BAADA YA KUZAA...AWACHANA MASTAA WAOGA.!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, March 31, 2014

WOW..ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUHUSU UREMBO WAKE BAADA YA KUZAA...AWACHANA MASTAA WAOGA.!!
Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema licha ya kujifungua, kamwe hawezi kuzeeka kama wengi wanavyomtafsiri.
 Rose alisema, kwa upande wake hata siku moja hawezi kumuunga mkono mtu anayesema kuzaa au kulea kunamfanya mtu azeeke kwani inategemea na jinsi mtu anavyojiweka.
“Nawashangaa hata wasanii wasiotaka kuzaa wakiona kama watakuwa wamemaliza ujana wao, asikwambie mtu hamna kitu kizuri kama kuitwa mama, nimejitunza na nimezidi kuwa mrembo hata baada ya kuzaa,” alisema Rose.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers