ANGALIA PICHA ILIVYOKUWA AJALI YA BASI MKOANI SIMIYU NA KUUWA WATU 11 | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, April 22, 2014

ANGALIA PICHA ILIVYOKUWA AJALI YA BASI MKOANI SIMIYU NA KUUWA WATU 11

Taarifa  zinaeleza kuwa basi hilo liliacha barabara na kugonga nyumba ambapo lilipinduka na kusababisha vifo hivyo huku idadi kubwa ya abiria wakijeruhiwa vibaya.

Maadhi ya majeruhi walikimbizwa katika hospital ya Wilaya ya Magu na wengine katika Hospital ya Rufaa Bugando huku kukiwa na taarifa na idadi ya watu waliopoteza maisha kuongezeka hadi kufikia jioni hii.

Miongoni mwa abiria waliokuwemo katika basi hilo ambao wamepoteza maisha ni Pamoja na Alex Masatu (Dj Alex da Wolf) ambae alikuwa ni mfanyakazi wa Radio Metro iliyoko Mkoani Mwanza.
Taarifa zaidi tutaendelea kukuwasilishia kadri zitakavyo tufikia.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers