AUDIO..MSIKILIZE WARIOBA ALIVYOFUNGUKA KUHUSU MCHAKATO MZIMA WA KATIBA...!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, April 24, 2014

AUDIO..MSIKILIZE WARIOBA ALIVYOFUNGUKA KUHUSU MCHAKATO MZIMA WA KATIBA...!!

April 23 Asasi ya Twaweza kupitia ukumbi wa Makumbusho wa Taifa walikua na 
uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa maoni kuhusu namna Watanzania wanavyoona
 uwakilishi wao katika bunge maalum la katiba,miongoni mwa watu waliopata nafasi ya kuongea ni pamoja na Jaji Mzee Joseph Sinde Warioba. 
Miongoni mwa vitu alivyovizungumzia Jaji Warioba ni kuhusu kuingizwa siasa na Dini na kuomba kutochanganywa kwa vitu hivyo huku akipinga kauli za baadhi ya wajumbe
 wa Bunge kuingilia baadhi ya watumishi wa serikali kama Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi,zitumie dakika hizi kumsikiliza Jaji Warioba.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers