BREAKING NEWS...BENKI YA BARCLAYS DAR YAVAMIWA NA MAJAMBAZI....SOMA ZAIDI HAPA.... | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, April 15, 2014

BREAKING NEWS...BENKI YA BARCLAYS DAR YAVAMIWA NA MAJAMBAZI....SOMA ZAIDI HAPA....

Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays
 tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana 
mara moja.
Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers