CHEKI VIDEO HII YA LULU NA JOTI DUH NI BALAAA….!!!!

Jana Elizabeth Michael Kupitia Ukurassa wake wa Instagram aliweza kushare Video ambayo ilimuonyesha yuko katika Mandhari ya Studio ya Radio akisubiri interview Huko Jijini mwanza, wakati huo ulikuwa ukipigwaa wimbo wa Msanii Diamond Platnumz na Bila hiana Lulu alikuwa akiugandamizia kwa kufuatisha mashairi yake huku akipewa sapot ya kutosha na Joti alie kuwa pembeni yake.
Jionee Mwenyewe Its so Funny..:
credit:swahilitz
 
CHEKI VIDEO HII YA LULU NA JOTI DUH NI BALAAA….!!!!  CHEKI VIDEO HII YA LULU NA JOTI DUH NI BALAAA….!!!! Reviewed by Linnah Lsquare on 12:59 PM Rating: 5
Powered by Blogger.