DIAMOND AZIDI KUPASUA ANGA..!! TAZAMA ALICHOSEMA MREMBO ALIYEIMBA "do me" NA P-SQUARE JUU DIAMOND PLATNUMZ...!!

Baada ya kutua Nigeria Diamond amedakwa na kufanya Collabo na Mwimbaji wa Kike Anayejulikana kwa Jina la WAJE Ambae inasemakana ndio Mwenye Mafanikio Makubwa nchini humo kimuziki kwa Waimbaji wa Kike.....Kama haitoshi Mwimbaji huyu baada ya kufanya kazi na Diamond Studio Moja Ametoa ya Moyoni na Kumsifu kuwa Diamond ni kijana mwenye nidhamu kubwa ya Kazi yake .....Hii ndio Message aliyo andika Waje
Met this amazing brother yesterday, humble nd such an inspiration,his work ethic is super. #africanlegendsmakingmusic @diamondplatnumz the talent eh. Thanks so much for this honour,” ameandika Waje kwenye Instagram.
-via swahilitz
DIAMOND AZIDI KUPASUA ANGA..!! TAZAMA ALICHOSEMA MREMBO ALIYEIMBA "do me" NA P-SQUARE JUU DIAMOND PLATNUMZ...!! DIAMOND AZIDI KUPASUA ANGA..!! TAZAMA ALICHOSEMA MREMBO ALIYEIMBA "do me" NA P-SQUARE JUU DIAMOND PLATNUMZ...!! Reviewed by Linnah Lsquare on 11:22 PM Rating: 5
Powered by Blogger.