DIAMOND PLATINUMZ AFUNGUKA SIRI NZITO YA KUTOPINDUA KWA MADAME WEMA SEPETU....!SHUKA NAYO HAPA....!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, April 12, 2014

DIAMOND PLATINUMZ AFUNGUKA SIRI NZITO YA KUTOPINDUA KWA MADAME WEMA SEPETU....!SHUKA NAYO HAPA....!!

STAA wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa.

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na sweet wake Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
“Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki Diamond.
Diamond Platnumz.
 

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers